Writing IMMO-OFF files

HAPA UJANJA tu
HAPA UJANJA tu
6.4 هزار بار بازدید - پارسال - Kwanza utapewa taarifa ya kuhusu
Kwanza utapewa taarifa ya kuhusu EEPROM gani ya kuandika hiyo data ya immo off!
Access http://www.5021.tips/ujanja/immoffiles

Ukishaitambua hiyo EEPROM, ni bora na salama, ukisoma na kuhifadhi SAVE hiyo data iliopo kwenye EEPROM bila kugusa kubadili chechote!

Ukimaliza ku load file, hamna aja ya kugusa, kubadili, kufuta chechote! Moja kwa moja WRITE andika hiyo file kwenye hiyo EEPROM!
Access http://www.5021.tips/ujanja/immoffiles

LAKINI, kwa ujanja zaidi, bora ulinganishe compare  hizo file zote mbili, yenye immo ON, na yenye immo OFF, ili ujifunze, utambue wapi pamebadili kufanya OFF, ili nawe ujifunze ufanye mwenyewe!
Access http://www.5021.tips/ujanja/immoffiles

#5021tips #HapaUjanjaTu #keyprogramming
پارسال در تاریخ 1401/12/27 منتشر شده است.
6,400 بـار بازدید شده
... بیشتر