Ubongo Kids Webisode 32 | Jeshi la Mbu | Malaria

Ubongo Kids Kiswahili
Ubongo Kids Kiswahili
2.6 میلیون بار بازدید - 8 سال پیش - Kiduchu ni mpelelezi na anajaribu
Kiduchu ni mpelelezi na anajaribu kupeleleza ni jinsi gani watu wengi wamepata homa katika kijiji cha Kokotoa.

Angalia webisode za msimu wa pili wa Ubongo Kids hapa hapa!

Ubongo Kids Webisode 32 - "Jeshi la Mbu" - the Tanzanian animated cartoon series as seen on TBC1!

Jifunza kuhusu viungo vya mwili kupitia episode hii ya Ubongo Kids, Africa's clever new cartoon!

Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: http://www.ubongokids.com

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.

http://ubongokids.com
ubongokids
Facebook: ubongokids
Twitter: ubongotz

An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.
8 سال پیش در تاریخ 1395/01/28 منتشر شده است.
2,689,000 بـار بازدید شده
... بیشتر