Jinsi ya kuandaa shawarma tamu kuanzia mwanzo - Chicken shawarma from scratch

Shuna's Kitchen
Shuna's Kitchen
161 هزار بار بازدید - 6 سال پیش - ✔Jinsi ya kutengeneza mayonnaise mwenyewe
✔Jinsi ya kutengeneza mayonnaise mwenyewe nyumbani / Homemade mayonnaise 👉 Jinsi ya kutengeneza mayonnaise nyumb...
_______________________________________

🔴✅Mahitaji kwa pita bread  (mkate wa shawarma )

▫unga robo kg
▫vkk 2 mafuta ya kupikia
▫chumvi kiasi
▫vjk 2 maziwa ya unga  (si lazima)
▫kjk 1 kidogo sukari
▫maji ya uvugu vugu kwa ajili ya kukandia
~shuna's kitchen~
__________________

🔴✅Mahitaji kwa sosi zake
✅Kwa red sauce tunahitaji

▫vjk 2 - 3 ketchup  (tomato ya chipsi)
▫Kitunguu saum punje 2
▫Pilipili ya kuwasha ukipenda
▫kjk 1 kidogo sukari
▫vjk 2 maji ya limau au ndimu
▫chumvi kiasi

🔴✅White sauce - Tahini sauce  (sosi ya tahini)
▫nusu kikombe ufuta mweupe
▫vjk 2 au 3 mafuta ya olive (olive oil)
▫chumvi kiasi
▫nusu kjk pilipili manga  (si lazima)
▫vjk 3 maji ya limau au ndimu
▫kitunguu saum punje 3
~shuna's kitchen~
__________________

🔴✅Mahitaji kwa ajili ya vya kuweka kwenye  SHAWARMA

▫Kuku nusu kg  (alokua hana mifupa)
▫kjk 1 tangawizi na kitunguu saum
▫nusu kjk bizari ya mchuzi
▫kjk 1 curry powder
▫kjk 1 bizari nyembamba na pilipili manga
▫nusu kjk all purpose seasoning  (si       lazima)
▫kjk 1 kidogo garam masala
▫kjk 1 maji ya limau au ndimu
▫vjk 2 dark soy sauce  (si lazima)
~shuna's kitchen~
__________________
✔For more updates please join my social media family ❤
▫instagram: @jifunze_mapishi 👉 Instagram: jifunze_mapishi

▫Facebook jifunze mapishi 👉 Facebook: shunaskitchen
__________________________________________

✔For business enquiry only : [email protected]
_____________________________________

✔More videos to watch;

🔴✅Jinsi ya kuchoma kuku bila kutumia oven wala mkaa / How to roast chicken without oven or charcoal grill 👉 Jinsi ya kuchoma kuku  bila oven wala...

🔴✅jinsi ya kupika pudding ya mchele/ Rice pudding 👉 Mapishi ya pudding ya mchele tamu na ...

🔴✅ Jinsi ya kupika mkate wa mchele kwa kutumia unga wa mchele / Rice flour bread 👉  Jinsi ya kupika mkate wa mchele kwa k...

🔴✅ jinsi ya kutengeneza Icing sugar mwenyewe nyumbani / How to make icing sugar at home 👉 Jinsi ya kutengeneza Icing Sugar nyum...
6 سال پیش در تاریخ 1397/09/19 منتشر شده است.
161,023 بـار بازدید شده
... بیشتر