Mafunzo ya Adobe Photoshop, Jifunze kuanzia mwanzo mpaka mwisho

Joel Media
Joel Media
938 بار بازدید - 3 سال پیش - Education Webiste:
Education Webiste: https://www.joelmediaeducation.com/ MAFUNZO YA ADOBE PHOTOSHOP 2021
Hellow!! Naitwa Joel Kadaga Creative Graphics Designer, nina uzoefu wa miaka kadhaa katika kufanya projects mbalimbali binafsi za wateja wangu pamoja na kmapuni mbalimbali, nimewekeza muda wangu mwingi katika kujifunza, kufanya project mbalimbali pamoja na kuandaa mafunzo mbalimbali ili kuwasaidia wengine kujifunza na kukuza career zao.

Nakukaribisha katika mafunzo haya ya Adobe Photoshop maalumu kwaajili ya beginner au yeyote anayeanza kabisa kujifunza graphics design. Utajifunza jinsi ya kutumia adobe photoshop kuanzia mwanzo mpaka mwisho na baada ya mafunzo haya utakua na uwezo wa kufanya mambo mengi kama designer ndani ya Photoshop interface.

Adobe photoshop ni software mama kwa designer wengi Graphics designer, 3d artist/designer, Motion designer, Web designer, Photographer, videographer nk hivyo ni muhimu sana kujifunza software hii ikiwa upo au unategemea kuingia katika tasnia ya ubunifu wa kidigitali.
Mafunzo yapo katika mfumo wa video unaweza kujifunza popote ulipo unatumiwa video unapakua na kuanza kujifunza
Wasiliana nami ili kupata package yako
0745 152 680



Education Webiste: https://www.joelmediaeducation.com/

Follow me on
Instagram: Instagram: joemediagroup_
Facebook​ https://linktr.ee/joemediagroup_
Twitter:​ https://linktr.ee/joemediagroup_​
Whastapp: https://linktr.ee/joemediagroup_​























0:00 - Intro
0:23 - Adobe Photoshop ni nini?
1:22 - Recap
3 سال پیش در تاریخ 1400/06/28 منتشر شده است.
938 بـار بازدید شده
... بیشتر