Sambusa za viazi | Jinsi yakupika na kufunga sambusa za viazi | Mapishi ya sambusa.

Rukia Laltia
Rukia Laltia
64.9 هزار بار بازدید - 4 سال پیش - #mapishiyakiswahili
#mapishiyakiswahili #sambusazaviazi #sambusa


Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen

Mahitaji:-
Viazi 4 vikubwa
Pilipilimanga kijiko nusu cha chai
Chumvi
Kitunguusaumu kijiko kidogo
tangawizi kijiko kidogo
Ndimu 1
Kitunguu Maji 1
Karoti 2
Garamasala kijiko kidogo
Currypowder kijiko kidogo
Manjano kijiko kidogo nusu
Manda/kaki
Maji
Unga wa ngano
Mafuta yakupika sambusa

Asalam aleikum /habari zenu , spices zipo  tayari  kwa  bei  rejareja na  jumla, kwa  Mahitaji  ya  spices  muhimu  jikoni zilizotengezewa nyumbani   (viungo  16)wasiliana  nasi  kwa  nambari  ➡️ +254 787 022663 / +254 791 784401 tunatuma  Eastafrican  nzima .
Instagram ➡️ Laltias_swahili_spices.


English recipe follow the link ➡️ Potatoes samosa | How to make and fol...

Manda  | Kaki  | Jinsi yakutengeza manda / kaki za sambusa  na  ufungaji  wa  sambusa  ➡️ Manda  | Kaki  | Jinsi yakutengeza ma...

For  more  swahili  videos follow :
➡️ @husna_laltia

➡️ @eastafricanfoodsrecipes9183
4 سال پیش در تاریخ 1399/08/12 منتشر شده است.
64,948 بـار بازدید شده
... بیشتر