Siku katika maisha ya Akili | Akili huenda sokoni na kujifunza kuhusu matunda #michezo #ispy

Akili and Me - Kiswahili
Akili and Me - Kiswahili
28.8 هزار بار بازدید - ماه قبل - Jiunge na Akili sokoni anapojifunza
Jiunge na Akili sokoni anapojifunza yote kuhusu matunda mbalimbali!

Nenda sokoni na Akili Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza!

Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. https://www.seevid.ir/c/AkiliKiswah...

Angalia "Akili and Me": https://www.ubongo.org/shows/showtimes/

http://www.akiliandme.com
Facebook: akiliandme

Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media.

https://www.ubongo.org

Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains

#SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe
ماه قبل در تاریخ 1403/03/19 منتشر شده است.
28,899 بـار بازدید شده
... بیشتر