Jifunze Adobe Photoshop kwa Kiswahili

ABBY CREATIVE
ABBY CREATIVE
313 بار بازدید - 2 سال پیش - 👋Karibu AbyCast, Huu ni mwanzo
👋Karibu AbyCast, Huu ni mwanzo wa mafunzo ya photoshop kwa kutumia lugha adhim kabisa ya kiswahili.

❗Kumekuwa na changamoto katika upande wa sauti na video 📹 sauti ikiwa inawahi kidogo, lakini natumai hili halitazuia kufikia lengo la kujifunza na tunajitahidi kushughulikia changamoto hii na nyinginezo ambazo zimejitokeza ili kukupa urahisi katika kujifunza.

Link ya Kudownload Adobe Photoshop Cc 2022 (100% Free) https://getintopc.com/softwares/graph...

-Usisahau kushare, kusubscribe na kutupa comment kuhusu changamoto, mapendekezo na maoni kuhusu video zetu🙏


#unimediatz #kaakisomi #unirefresh #unisports #unimagazine #uninews #uniupdates #kiswahili #graphicdesign, #graphics #editing #editingtutorial
#tanzania #tanzanianyoutuber #swahilicourse
2 سال پیش در تاریخ 1400/12/22 منتشر شده است.
313 بـار بازدید شده
... بیشتر