KIJANA SAID ALIYETOBOLEWA MACHO na SCORPION Atishiwa KUUAWA, "SERIKALI ISIKIE Kilio CHANGU"...

Global TV  Online
Global TV Online
9.8 هزار بار بازدید - 3 سال پیش - KIJANA SAID ALIYETOBOLEWA MACHO na
KIJANA SAID ALIYETOBOLEWA MACHO na SCORPION Atishiwa KUUAWA, "SERIKALI ISIKIE Kilio CHANGU"...

Siku chache zilizopita, Global TV ilifanya mahojiano na Said Mrisho, mhanga wa tukio la kuchomwa visu kisha kutobolewa macho na Salum Njwete almaarufu Scorpion akieleza jinsi maisha yake yalivyobadilika baada ya tukio hilo lililotokea miaka mitano iliyopita katika eneo la Buguruni kwa Mnyamani jijini Dar es Salaam.

Kwa kipindi chote hicho, Scorpion anaendelea kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka saba aliyohukumiwa gerezani huku tetesi zikieleza kwamba yupo kwenye hatua za mwisho kuachiwa kwa msamaha wa parole.

Hata hivyo, muda mfupi baada ya mahojiano hayo aliyoyafanya Said na waandishi wetu, Richard Bukos na Issa Mnally, yameibuka malalamiko mapya kutoka kwa Said, akidai kwamba kuna watu wamekuwa wakimpigia simu na kumtishia maisha yake.


⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: GLOBAL COMEDY/MOVIES

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE:  ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR  [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:            
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: Habari zote za michezo na Burudani Ta...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
3 سال پیش در تاریخ 1400/06/13 منتشر شده است.
9,870 بـار بازدید شده
... بیشتر