BWANA UNIBADILI_ Kwaya ya Mt.Maria Goreth_Chuo kikuu- Ushirika - Moshi

RAJO PRODUCTIONS
RAJO PRODUCTIONS
17.5 میلیون بار بازدید - 6 سال پیش - Hii ni Kwaya ya Mt.
Hii ni Kwaya ya Mt. Maria Goreth kutoka Chuo kikuu cha Ushirika - Moshi. BWANA UNIBADILI ni wimbo uliobeba jina la album yenye nyimbo za kumsifu na Kumtukuza Mungu. Tuungane nao katika kusitazama kazi hii.
Waweza pia kuwa wakala wa kuisambaza kazi hii na endapo utataka kuwasiliana nao, tumia namba hizi:
+255 654 369 810 au +255 621 065 005

Tunaposikiliza Wimbo huu tuombe kwa Mungu tuzijue Habari zake Habari za Mungu Mwana, Habari za Yesu, tuweze kufuata kwa vitendo njia za Yesu kristo. Tuendelee kusikiliza na Kutazama Maneno Matamu ya wimbo huu na Mungu azidi kutubariki. Amen

#kwayakatoliki
6 سال پیش در تاریخ 1397/01/15 منتشر شده است.
17,552,079 بـار بازدید شده
... بیشتر