Kenneth Lusaka na James Orengo waunga mkono wito wa Uhuru Kenyatta

KTN News Kenya
KTN News Kenya
765 بار بازدید - 6 سال پیش - Mjadala kuhusu agizo la rais
Mjadala kuhusu agizo la rais la kutaka mali ya maafisa na viongozi wa serikali kuchunguzwa  unazidi kushika kasi huku spika wa bunge la senate Ken Lusaka na seneta wa kaunti ya siaya  James Orengo wakiunga mkono agizo hilo wakilitaja kuwa hatua muhimu katika kuutokomeza ufisadi nchini


SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: Twitter: KTNNews  

Like us on Facebook: Facebook: KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android




KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
6 سال پیش در تاریخ 1397/04/03 منتشر شده است.
765 بـار بازدید شده
... بیشتر