Biryani ya Kuku Kienyeji. Nyiie 🙌🙌 Taamu sana 🥰

Malkia Foods
Malkia Foods
3.9 هزار بار بازدید - 8 ماه پیش - Kuku 1 mkubwavitunguu maji vikubwa
Kuku 1 mkubwa
vitunguu maji vikubwa 4
viazi vya chips 3 vikubwa
vyanya 6
gilgilani kiasi
maxiwa mgando 1/2 kikombe
paste ( kitunguu swaumu na Tangawizi) vijiko 2
mafuta vijiko 6
manjano kijiko cha chai
binzari nyembamba kijiko cha chai
garam masala kijiko cha chai
biryani masala kijiko cha chai


mchele vikombe 4
maji vikombe 8
chumvi kijiko cha chai
mafuta vijiko 3
rangi 1/4kijiko cha chai
8 ماه پیش در تاریخ 1402/09/30 منتشر شده است.
3,983 بـار بازدید شده
... بیشتر