MKOJANI,CHUMVI NYING,HUSSEIN NA MINNAH_SIOI TENA Episode 1 Full Hd

RAI TV
RAI TV
98.6 هزار بار بازدید - 3 سال پیش - SIOI TENA Ni hadithi inayo
SIOI TENA Ni hadithi inayo fundisha hasa kuhusu Ndoa,Na zaidi inamuhusu bwana Mmoja aitwae HUSEIN ambae Tayari ana mke na mtoto Mmoja aitwae NURAT ila kutokana na Umaskini Alio nao anakutana na rafiki ake CHUMVI NYING na kushauliwa kuoa mke wa pili kutoka katika familia yenye uwezo ili wabadili maisha yao.
      HUSEIN mwisho wa siku anakosa vyote,anamkosa MAMA NURAT ambae ni mke wake wa kwanza lakini pia anamkosa NURAT mwenyewe na isitoshe anamkosa na huyo wa pili alie taka kumuoa Na kutokana na misuko suko anayo ipitia HUSEIN anapoteza mpaka akili SIOI TENA.
     
    STORY: SIOI TENA
    AUTHOR: CHUMVI NYING
   CAMERA OPERATOR AND VIDEO EDITOR/FINALLY TOUCH BY:BENSON CHANCE TUNDU
    DIRECTOR: CHUMVI NYING
    PRODUCER: H MKOA FILMS
             

       CAST
          MKOJANI
          CHUMVI NYING
           MINNAH MOH
           CHINDOLE
           MUNNAH HUSEIN

   Na wengine wengi

.........
      SIOI TENA:A story that teaches especially about Marriage, and more about a man named HUSEIN who already has a wife and one child named NURAT but due to his poverty he meets his friend CHUMVI NYING and is advised to marry a second wife from a capable family so that change their lives. HUSEIN at the end of the day misses everything, he misses Mama NURAT who is his first wife but he also misses NURAT himself and moreover he misses her and the second one he wants to marry. SIOI TENA



  STORY: SIOI TENA
    AUTHOR: CHUMVI NYING
   CAMERA OPERATOR AND VIDEO EDITOR/FINALLY TOUCH BY:BENSON CHANCE TUNDU
    DIRECTOR: CHUMVI NYING
    PRODUCER: H MKOA FILMS
             

       CAST
          MKOJANI
          CHUMVI NYING
           MINNAH MOH
           CHINDOLE
           MUNNAH HUSEIN
And many other.
   
      #SIOTENA #RAITV
3 سال پیش در تاریخ 1400/11/22 منتشر شده است.
98,636 بـار بازدید شده
... بیشتر