Ep. 05 Wali wa kuunga na zabibu kavu

TOLLYS KITCHEN
TOLLYS KITCHEN
32.6 هزار بار بازدید - 7 سال پیش - Mahitaii •Mchele kilo 2 •vitunguu
Mahitaii •Mchele kilo 2 •vitunguu maji 2 vikubwa •vitunguu swaumu kijiko 1 1/2 cha chakula •Nyanya ya kopo kijiko 1 •chumvi kwa ladha •Mafuta ya kupikia 1/4 ya kikombe,au kwa kiasi upendacho •Maji ,vikombe 8 au ( vikombe sawa na kipimo cha mchele) •zabibu kavu kikombe 1 (weka zaidi ukipenda)
7 سال پیش در تاریخ 1396/12/21 منتشر شده است.
32,629 بـار بازدید شده
... بیشتر