Jinsi ya kuifanya hard disk(LOCAL C) isijae kwa haraka

Richstar
Richstar
14 هزار بار بازدید - 8 سال پیش - Somo hili linaonesha jinsi gani
Somo hili linaonesha jinsi gani unavyoweza ku clean/safisha local c au had disk kwa ujumla ili isijae haraka
Kwa sababu miongoni mwa sababu zinazo sababisha Computer yako iwe N a speed ndogo ni kuelemewa kwa files nyingi ktk hard disk

Hasa kwa wale wanaofanya kazi za Graphics design tatizo hili limekuwa sumbufu sana ndiyo maana nikaguswa kufanya tutorial hii.
MUHIMU:
Kumbuka kufuta Temporary files kila baada ya wiki au mwezi mmoja. Baada ya kutizama video hii Share na Subscribe my Channel.

~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "Jinsi ya Kutumia Photoshop CS6 kwa mara ya kwanza(Beginners) SEHEMU YA 1"
Jinsi ya Kutumia Photoshop CS6 kwa ma...
~-~~-~~~-~~-~
8 سال پیش در تاریخ 1395/07/24 منتشر شده است.
14,004 بـار بازدید شده
... بیشتر