INAUMA NASHEED by AFAAIZU LUHETA SAID

umma bora خير امة
umma bora خير امة
466 هزار بار بازدید - 5 سال پیش - NASHEED YA KISWAHILI INAYOSIKITISHA NA
NASHEED YA KISWAHILI INAYOSIKITISHA NA KUBEBA MAFUNZO MENGI KWA VIJANA.
ndugu yetu kutoka tanzania katuimbia nasheed nzuri sana na yenye kusisimua mwili sana. mtu akiisikiliza nasheed hii anasikia kulia sana. lakini cha ajabu pia unahisi uisikilze tena na tena.
hii inatuinesha hasara ya kuchagua rafiki muovu katika maisha yako itakupelekea ujute sana.
5 سال پیش در تاریخ 1398/11/12 منتشر شده است.
466,000 بـار بازدید شده
... بیشتر