61. Jinsi ya Kurikodi Sauti Kwa kutumia Microsoft Powerpoint | Ingiza Audio ndani ya Powerpoint

Mohamed Hafidh Tz
Mohamed Hafidh Tz
31 بار بازدید - ماه قبل - Karibu kwenye PowerPoint Tutorial yetu
Karibu kwenye PowerPoint Tutorial yetu ya 61! Katika video hii, tutaendelea kujifunza jinsi ya kurekodi sauti ndani ya PowerPoint, iwe kutoka kwenye faili ya audio au kwa kurekodi moja kwa moja.

Nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuingiza sauti kwenye presentation yako kwa kutumia zana za kurekodi sauti za PowerPoint. Ikiwa unataka kuingiza sauti ya kuvutia kwenye preentation yako au kufanya mabadiliko ya moja kwa moja, basi hii ni tutorial muhimu kwako!

Unachojifunza katika video hii:
Jinsi ya kuingiza audio katika Powerpoint Presentation.
Jinsi ya kufanya kurekodi sauti moja kwa moja ndani ya PowerPoint.
Vidokezo vya kuboresha ubora wa sauti na kuiweka kwa usahihi katika mawasilisho.



Karibu katika channel yangu!

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na ninafuraha kuwa nawe hapa.

Kwenye channel yangu, utapata video za kuvutia kuhusu mambo mengi, ikiwa ni pamoja na teknolojia, afya, mazingira, sayansi, motisha, na mengi zaidi.

Ninaamini kwamba kila mtu ana uwezo wa kujifunza na kukua, na ninatumai video zangu zitakusaidia kufikia malengo yako.

Ili kupata taarifa mpya za video zangu, tafadhali:
👉 Bonyeza kitufe cha subscribe
👉 Washa kengele ili upate taarifa za video mpya

Pia, unaweza kunifuata kwenye mitandao ya kijamii ili kujua zaidi kuhusu mimi na kazi yangu.

Natumai utapata manufaa katika video zangu, na ninashukuru kwa kuwa sehemu ya community zangu!

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mimi, tafadhali tembelea:
Instagram: Instagram: mohamedhafidh_tz
Tiktok: TikTok: mohamedhafidh_tz

Youtube:
@mohamedhafidh255

#powerpointtutorials #jifunze #swahilicourse
ماه قبل در تاریخ 1403/04/24 منتشر شده است.
31 بـار بازدید شده
... بیشتر