Mbinu ya Wimbo itakayo kusaidia ku sklachi imba hivi kwenye visho dj 8

NYAKU TV
NYAKU TV
1 هزار بار بازدید - 12 ماه پیش - Mbinu hii ni ya ubunifu
Mbinu hii ni ya ubunifu ambayo itamsaidia mtu ambae anaweza kuseti  scratch lakini hawezi ku scratch kwa kutumia bani . Nimejaribu Kubuni ili kuweza kukusaidia uweze kufurahia unacho tamani kufanya.
Baada ya kujaribu niambie kwa comment au kwa kunipigia simu   ili nijue imekusaidia kwa kiasi gani.

Wasiliana nami kupitia 0756 72 31 72
12 ماه پیش در تاریخ 1402/05/27 منتشر شده است.
1,037 بـار بازدید شده
... بیشتر