PEPMIS: Subtask implementation and Monitoring (ufuatiliaji wa Subtask)

MDOPE UJUZI Tz 💻🌐
MDOPE UJUZI Tz 💻🌐
3.6 هزار بار بازدید - 5 ماه پیش - Now Kwenye PEPMIS Tuendelee na
Now Kwenye PEPMIS
Tuendelee na Implementation.

Subscribe kwa Video zaidi

Menu ya implementation ipo chini ya menu ya annual institution performance planning. Pale

Nb: Ukishabonyeza hiyo menu utaselect task uliyoifanyia kazi Kisha fanya yafutayo.


1. Sehemu ya discription
Andika maelezo Kwa ufupi juu ya Kile umefanya.

2. Sehemu ya kuselect progress chagua kama

-umelamiza hiyo task  ( complete )

-Inaendelea (continuing)

- umeachana nayo (Droppedout)
Hapa ni kama umebadilishiwa majukumu mfano uliazimia KUFUNDISHA form two mathe ukabadilishiwa.

Ukapewa mathe form four. Utaselect dropout.

-Not started (hujaanza kuifanyia kazi)

Hapa maana yake labda unaona mda Bado kabisa WA kuanza umeamua ujaze hivyo kwenye asilimia hapa utaweka 0%

Ukisema complete itakaaa asilimia 100%

Na itahitaji u-upload file.

Kuna aina mbili za file hapa.

1. File juu ya Kile umefanya scheme,lesson plan, notes nk

2. Taarifa fupi juu ya Kile umefanya.
Hapa Kuna vitu havina document. Mfano umekagua kitu Fulani, umeshiriki kikao, shughuli za michezo nk.  Hapa andikia report fupi. Hiyo report ndio uipakie kwenye mfumo.

Ukisema continuing itakuhitaji uweke je umefikia asilimia ngapi

Hapo tumia mathematics formula either Kwa kukadilia au Kwa ku-calcucalate  kabisa

Mfano umeandalia maandalio mangapi kati ya mangapi Kwa mwaka zidisha mara miamoja utapata asilimia yake

Kwa msaada zaidi
COMMENT KATIKA VIDEO
5 ماه پیش در تاریخ 1403/01/05 منتشر شده است.
3,641 بـار بازدید شده
... بیشتر