Jifunze Microsoft Word Kwa Kiswahili

Learn Python
Learn Python
1.2 هزار بار بازدید - 5 سال پیش - Karibu katika chaneli yetu ya
Karibu katika chaneli yetu ya MoTech COMPUTERS, leo ningependa tujifunze ujuzi mbali mbali katika microsoft word bure, elimu hii utaipata hapa bure, mimi nitatoa Microsoft Word course kwa kiswahili.

Kwanini unatakiwa kujifunza hii courese ya Microsoft Word
1. Itakupa ujuzi mbali mbali katika kazi yako ya secretary
2. Itakuandaa mwanafunzi uliye maliza form 6 kujianda kwa matumizi ya computer chuoni
3. Itakusaidia mwanafunzi uliyemaliza form kuptata ujuzi wa kufanya kazi stationary
4. Itakusaidia katika uandishi wa repoti na kazi zako mbali.
5. Itakusaidia katika uandishi wa barua.

Katika Hizi Video zetu utajifunza mambo yafuatayo
1. Jinsi ya kutengeneza time table kwenye Microsoft Word
2. Jinsi ya kubadirisha neno lililojitekeza sana - Microsoft Word
3. Jinsi ya kuweka Border na Background Color - Microsoft Word
4. Staili za kuremba maandishi - Microsoft Word

Pia video nyingi zaidi na zaidi tutazidi kujitoa, hivyo usisahau kususcribe katika chaneli yetu kwa kubofya link hapo chini
https://www.youtube.com/motechstore?s...

Kupata full courese yetu ya Microsoft word in Swahili bofya link hapo chini
Jifunze Microsoft Word  Kwa Kiswahili

Pia kama umependa kipindi gonga like, kama umefurahi pia comment, kama hujaelewa uliza swali kwa comment, nitakujibu.


Kwa ushauri wowote wa IT(Information Technology)
           Follow me on Instagram : motech tz
#microsoftwordkiswahili #jifunzemicrosoftword #microsoftword
5 سال پیش در تاریخ 1398/06/25 منتشر شده است.
1,288 بـار بازدید شده
... بیشتر