MBOWE AELEZA MAZITO KUTEKWA MZEE KIBAO, ALIMWAGIWA TINDIKALI

Revivalfmtz
Revivalfmtz
546 بار بازدید - هفته قبل - Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema uchunguzi uliofanywa kwenye mwili wa Ali Kibao mbele ya mwanasheria wa Chadema, umebaini kwamba alipigwa sana na kumwagiwa tindikali.

Ameyasema hayo nje ya chumba cha maiti katika Hospitali ya Mwananyamala, ambako viongozi na wanachama wa chama hicho, waliweka kambi tangu asubuhi kwa ajili ya kufuatilia taarifa za kupatikana kwa mwili wa Kibao.
هفته قبل در تاریخ 1403/06/18 منتشر شده است.
546 بـار بازدید شده
... بیشتر