'Hakuna mtu ambaye amefanikiwa halafu hana adabu'

BBC News Swahili
BBC News Swahili
11.6 هزار بار بازدید - 2 ماه پیش - Ambwene Yesaya @aytanzania Ni miongoni
Ambwene Yesaya @aytanzania Ni miongoni mwa wasanii wa mwanzo kufanya muziki wa hip hop kuwa biashara nchini Tanzania na kufanikiwa kufanya kazi na wanamuziki wakubwa kama @psquareworld, Miss Trinity, Sean Kingston, Romeo na wengine wengi. Amezungumza na @rmziwanda_official kuhusu masuala mbalimbali ya muziki 🎥: @jesswapele @frankmavura #bbcswahili #tanzania #muziki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  
2 ماه پیش در تاریخ 1403/05/04 منتشر شده است.
11,621 بـار بازدید شده
... بیشتر