Jinsi ya kupika Maandazi laini sana😋- Recipe 1 (hamira na maziwa)

MAPISHI TV
MAPISHI TV
35.4 هزار بار بازدید - ماه قبل - Maandazi ya maziwa na hamiraUnga
Maandazi ya maziwa na hamira

Unga vikombe 4
Hamira kijiko kikubwa 1 na robo
Maziwa 200 ml
Sukari robo tatu ya kikombe ulichopimia unga
Chumvi nusu kijiko kidogo
Mafuta kijiko kikubwa 1
Siagi vijiko vikubwa 2 . Unaweza kutumia pia kijiko 1 tu
Hiliki kiasi
ماه قبل در تاریخ 1403/04/16 منتشر شده است.
35,406 بـار بازدید شده
... بیشتر