Jay Melody_Sugar (Acoustic version)

Jay Melody
Jay Melody
86.1 هزار بار بازدید - 2 سال پیش - Sweet like a kuku tamu
Sweet like a kuku
tamu sana

sweet like a soup
am going to die

kwenye dimbwi sijiwezi
nimezama

mi corazon
my baby banana

penzi hulifichi kama ni sindano
itachoma

mi siambiliki hata wakaniroge
kigoma


ukiugusa mwili wangu
nashituka moyo paah

mpenzi wangu nishike
nisije nikapaa

kama mvua na mawingu
kama mwezi na anga

sina jambo
kwa jinsi
umenikamata


tena usinipege kiduchu
(Sugar x3)

my life is nothing without you
(Sugar x3) X2

mmmh mmh


nikoleze my darling eh
na tukichoka tuka lale

wanasema hatari eh
lakini me nimekubari eh

kileleni ndo pale
basi tufike sare sare

shika ndizi mshare
nikuvue kama kambale

vile hawapumui
wakerekwa maadui

hao wanafki
watajua hawajui


ukiugusa mwili wangu
nashituka moyo paah

mpenzi wangu
nishike nisije nikapaa

kama mvua na mawingu
kama mwezi na anga

sina jambo
kwa jinsi umenikamata


tena usinipege kiduchu
(sugar x3)  

my life is nothing without you
(sugar x3)   X2







Produced by;Mocco Genius
Guitar by; Ebenezer Kaziri
Graphics by; Jrgraphics
2 سال پیش در تاریخ 1401/01/22 منتشر شده است.
86,189 بـار بازدید شده
... بیشتر