Vaileth Mwaisumo - Imeisha Hiyo (Official Video Music)SMS: Skiza 6981237 to 811.

Vaileth Mwaisumo
Vaileth Mwaisumo
2.7 میلیون بار بازدید - 2 سال پیش - MUNGU akimaliza amemaliza, akiponya ameponya,
MUNGU akimaliza amemaliza, akiponya ameponya, akiinua ameinua hakuna wa kusimama juu ya neno la MUNGU wimbo Imeisha hiyo ni wimbo unaokupa ujasiri kutembea kifua mbele unapobarikiwa na MUNGU bila kujali chuki za watu, hapana za watu au vitisho vya watu MUNGU akikutendea Imeisha hiyo. # #VailethMwaisumo #MusicVideo #ImeishaHiyo
2 سال پیش در تاریخ 1401/12/09 منتشر شده است.
2,742,004 بـار بازدید شده
... بیشتر