ORANGE CAKE / KEKI YA MACHUNGWA (English&Swahili)
122.4 هزار بار بازدید -
7 سال پیش
-
This cake is very soft
This cake is very soft and crumbly, if you like less crumbly then reduce the amount of orange juice.
INGREDIENTS
2 medium oranges ( juice and zest)
Butter 500g
Sugar 500g -4 tbsp if you don't like too sweet
Plain flour 500g
7 large or 8 medium eggs
1 tbsp baking powder
Link to my blog; http://shunaskitchen.com
_____________________________________
Hii cake ni laini sana na inachambuka, kama hupendi ichambuke sana punguza kiwango cha juisi ya machungwa.
MAHITAJI;
Machungwa 2 ya saizi ya kati ( maganda na juisi yake)
Siagi nusu kilo
Sukari nusu kilo, punguza vijiko 4 vya kulilia kama hupendi tamu sana
Unga wa ngano nusu kilo
Mayai makubwa 7 au ya size ya kati 8
Link ya blog yng ; http://shunaskitchen.com

در تاریخ 1396/07/18 منتشر شده
است.
122,472
بـار بازدید شده