Jay Melody - SAWA (Lyrics)

FINE LYRICS
FINE LYRICS
5.7 هزار بار بازدید - پارسال - Jay Melody - SAWA (Lyrics)Tags:sawa
Jay Melody - SAWA (Lyrics)

Tags:
sawa jay melody lyrics, sawa, jay melody lyrics, jay melody sawa, sawa jay melody, sawa, sawa lyrics,
Sawa lyrics jay melody, cha mtu uliwa na mtu, basi mwambieni nampenda, ananipaga asali me nailamba tu, na penzi letu ni kama sunna na ulinzi kama suma,
akipanua neti naingia, akifungua gate naingia, kwa hakika haya mapenzi kusema kweli yataniua, eh sawa sawa sawa, hata akinuna bado anapendeza mchumba, yes saw right saw eh sawa, jay melody,
jay melody new song, sawa by jay melody,

Sawa Lyrics:
Jay once again
Mapenzi tu
Nimepagawa hamjui
Ye kila mara ananifanya silali
Namwaza yeye tu
Anayeweka roho yangu juu
Ana utoto tu
Sema uzuri ananipaga asali
Mi nailamba tu

Na penzi letu ni kama sunna
Na ulinzi kama suma
Hata akinuna
Bado unapendeza mchumba
Mkimuona ananichuna
Msinionee huruma
Cha mtu huliwa na mtu
Kutu yake chuma




Basi mwambieni nampenda
Sawa, sawa, sawa
Ah mwambie mi nampenda
Yes (Sawa) Right (Sawa) Sawa

Huo utamu hasa nikiingia
Akifungua gate naingia
Akipanua neti naingia
Na wala sikwepeshi naingia
Sina akili ya kuchange idea
Hapo hapo nimemng’ang’ania
Hapo hapo nimeshikilia
Na visokorokwinyo mtaumia, naahaa
Kwa hakika haya mapenzi
Kusema kweli, yataniua
Kwa hakika haya mapenzi
Kusema kweli, yataniua

Na penzi letu ni kama sunna
Na ulinzi kama suma
Hata akinuna
Bado unapendeza mchumba
Mkimuona ananichuna
Msinionee huruma
Cha mtu huliwa na mtu
Kutu yake chuma

Basi mwambieni nampenda
Sawa, sawa, sawa
Ah mwambie mi nampenda
Yes (Sawa) Right (Sawa) Sawa


#jaymelody #sawa #lyrics
پارسال در تاریخ 1402/03/23 منتشر شده است.
5,764 بـار بازدید شده
... بیشتر