KUSHONEA WEAVING NA KUWEKA MSTARI UWE KAMA NYWELE YAKO / DIY NATURAL PARTING SEW IN WEAVE /Vivianatz

Vivianatz
Vivianatz
117.5 هزار بار بازدید - 2 سال پیش - Hello dear , Leo nimewafundisha
Hello dear , Leo nimewafundisha jinsi ya kushonea weaving na kutengeneza mstari au way iliyo natural bila kutumia closure, gundi wala kuachia nywele.

     Naitwa Viviana karibu saana kwenye channel hii ambayo itakuwezesha kujifunza namna ya kusuka mitindo mbali mbali ya nywele hata kwa wasio jua kusuka kabisa  , utajifunza pia  kupaka makeup za aina mbali mbali, kutunza nywele asilia , mitindo ya mavazi ,utambuzi wa bidhaa nzuri na bora za urembo na mengi yanayohusu urembo.

Kupitia video zangu za mafunzo ya urembo wengi wamejipatia ujuzi na kufungua biashara zao binafsi za Salon ,pia wengi wameweza kujisuka wenyewe ,karibu nawe katika familia yetu ya urembo .

NEW VIDEO / VIDEO MPYA ?
MONDAY AND FRIDAY at 07:00am
PROUCT USED / BIDHAA NILIZOTUMIA

TIZAMA VIDEO NYINGINE  BONYEZA LINK HAPO CHINI / PRESS LINK FOR MORE

KUTENGENEZA KIBANIO CHA AFRO PUFF/ DIY AFRO PUFF DRWAW STRING
PONYTAIL
KUTENGENEZA KIBANIO CHA AFRO Puff / D...  
KUBANA NYWELE FUPI NZIGA STYLE (Natural hair style Nziga)
Kubana nywele fupi NZIGA STYLE(natura...

KUSUKA RASTA ZA MABUTU YA KUANZIA CHINI
KUSUKA RASTA ZA MABUTU YA KUANZIA CHINI

KUSUKA AFRO KINKY NJIA RAHISI
MITINDO TOFAUTI YA LOCS /HOW TO  DIY ...

KUSUKA DISTRESS LOCS KUTUMIA SELFIE + PASSIONTWIST
KUSUKA DISTRESS LOCS KWA KUTUMIA SELF...

KUBANA NYWELE FUPI HAKUNA MATATA STYLE (Short natural hair Hakuna matata)
Kubana nywele Fupi "Hakuna Matata Sty...

KUSUKA CROCHET YA KUTYMIA RASTA ZA 1500/=
Kusuka Crochet kwa kutumua Rasta za t...

MAKEUP FOR BEGINNERS
Beginner Makeup series

MITINDO YA MAVAZI/ TRY ON HAUL FASHION
MITINDO YA MAVAZI /TRY ON HAULS

MAFUNZO YA MAKEUP / MAKEUP TUTORIALSMafunzo Ya Makeup/Makeup Tutorials

MAFUTA MAZURI YA NGOZI / SKIN CARE PRODUCTS REVIEW
Business inquiries/ Mawasiliano kwa ajili ya biashara
Email ;  [email protected]

Karibu tuwe marafiki nifollow kupitia
INSTAGRAM ;  https://instagram.com/vivianatz.offic...

Asante kwa kutizama video hii, karibu ujiunge nami katika mafunzo haya kwa kubonyeza alama ya Subscribe na alama ya kengele ili kuwa mmoja wa familiahii na kupata taarifa kila ninapoweka video mpya ya mafunzo.
2 سال پیش در تاریخ 1401/01/29 منتشر شده است.
117,540 بـار بازدید شده
... بیشتر