MPAKA HOME: Uwoya kusindikizwa na wasanii wa Bongo Muvi Kwenda Rwanda

Global TV  Online
Global TV Online
138.4 هزار بار بازدید - 7 سال پیش - Subscribe
Subscribe uwazi1

STAA wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya, ambaye amepata pigo la kufiwa na mumewe,ambaye ni mzazi mwezake aliyekuwa akiishi nchini burundi,  Hamad Ndikumana ‘Katauti’. Ametarajiwa kusafiri kwenda nchini burundi kwa dhumuni la kwenda kuhani mazishi ya mumewe ambaye hawakuwa wakiishi pamoja,Gobal TV Online ilipata taarifa hizo kupitia baadhi ya wasanii ambao walifika kumpa pole msanii mwezao, walisema msiba ni jambo ambalo linapaswa kupewa ushirikiano bila kujali tifauti za kibinadamu. “Suala la msiba ni letu sote, hivyo ni lazima tushirikiane kwa hali na mali kuhakikisha tunafarijiana sisi kwa sisi bila kujali tofauti zilizopo,” alisema Dude wakiwemo na baadhi ya wasanii kama Mike,SteveNyerere,idris kupa,Dokii pamoja,Shamsa Ford na mpiga picha maarufu wa bongo muvi Farid Uwezo.

FACEBOOK: Facebook: Globalpublis.. TWITTER: Twitter: GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… uwazi1 uwazi1 uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: Facebook: Globalpublis.. TWITTER: Twitter: GlobalHabari INSTAGRAM: Instagram: globalpubli..
7 سال پیش در تاریخ 1396/08/24 منتشر شده است.
138,403 بـار بازدید شده
... بیشتر