APR FC 3-1 JKU SC | Highlights | Mapinduzi Cup - 03/01/2024

Azam TV
Azam TV
8.7 هزار بار بازدید - 7 ماه پیش - Burudani ya matukio yote muhimu
Burudani ya matukio yote muhimu kwenye mchezo wa leo wa Mapinduzi Cup 2024 kati ya APR FC dhidi ya JKU.

APR imeibuka na ushindi wa magoli 3-1.

Magoli ya APR FC yamefungwa na Niyibizi Ramadhan na Mbaoma Victor wakati lile la JKU SC likifungwa kupitia mkwaju wa penati na Saleh Abdalla.
7 ماه پیش در تاریخ 1402/10/13 منتشر شده است.
8,732 بـار بازدید شده
... بیشتر