Patient-centered tuberculosis treatment - Training video - Swahili

Novartis Foundation
Novartis Foundation
2.6 هزار بار بازدید - 13 سال پیش - Utaratibu wa kumpa fursa mgonjwa
Utaratibu wa kumpa fursa mgonjwa wa TB kuchagua mahali na msimamizi wa matibabu yake (PCT), ulianzishwa nchini Tanzania mwaka 2005. Utaratibu huu unampa mgonjwa uwezo wa kuchagua mahali pa kunywa dawa za kutibu TB kila siku chini ya usimamizi: ama kwenye kituo cha tiba chini ya uangalizi wa mtaalamu wa afya au nyumbani kwa kusimamiwa na ndugu au mwana jamii aliyemteua mwenyewe. Filamu hii inawaelekeza wahudumu wa afya, wasimamizi na wagonjwa wenyewe jinsi ya kutumia utaratibu huu ikiwemo wajibu na majukumu ya kila mmoja wao.
13 سال پیش در تاریخ 1390/06/16 منتشر شده است.
2,665 بـار بازدید شده
... بیشتر