Katika Nyayo za Musa | Waarabu wanauita Mlima Sinai ulioko nchini Misri 'Jabal Musa'

Citizen TV Kenya
Citizen TV Kenya
157.4 هزار بار بازدید - 2 سال پیش - Mlima Sinai ndio moja wapo
Mlima Sinai ndio moja wapo wa maeneo yanayokisiwa kuwa matakatifu katika nchi za kiarabu. Mlima huo pia ukitambulika kama Jabal Musa, kwa kiarabu. Historia inanakili kuwa ni katika mlima huo ambapo Nabii Musa alipopokea amri kumi za mungu nyakati alipotoa mwongozo kwa wana wa israeli. Mlima huo ukiwa na umuhimu wa kipekee kiimani kwa wakristo na waisilamu kote duniani.
2 سال پیش در تاریخ 1401/10/24 منتشر شده است.
157,463 بـار بازدید شده
... بیشتر