Highlights | Wydad AC 2-1 Mamelodi Sundowns | AFL Finals 1-leg 05/11/2023

UTV Tanzania
UTV Tanzania
104.6 هزار بار بازدید - 10 ماه پیش - AFL FINALS 1st LEG: Wydad
AFL FINALS 1st LEG: Wydad Casablanca imeanza vema fainali baada ya kuitandika Mamelodi Sundowns mabao 2-1 katika mchezo wa mkondo wa kwanza kwenye fainali ya African Football League, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Mohamed V, nchini Morocco. Wafungaji kwenye mchezo huu ni Rivaldo Coetzee aliyejifunga dakika ya 41', Abdelmounaim Boutouil aliyeichomolea Wydad dakika ya 73 na goli la ushindi limetoka kwa Anas Serrhat dakika ya 78.
10 ماه پیش در تاریخ 1402/08/14 منتشر شده است.
104,695 بـار بازدید شده
... بیشتر