Tumaini Shangilieni Choir - Silaha Ya Ushindi (Official Video)

Tumaini Shangilieni Choir Arusha
Tumaini Shangilieni Choir Arusha
161.6 هزار بار بازدید - 8 سال پیش - Silaha ya ushindi katika maisha
Silaha ya ushindi katika maisha yetu ni MAOMBI;

Lolote tunaloliomba kwa baba, ikiwa ni mapenzi yake basi anatimiza;

Furaha kubwa kwetu, ni hii ya kwamba; Bwana Yesu amehadi kutupatia jambo lolote tukiomba kwa jina lake.

Facebook: tumainishangilieni.choir ; Instagram: tumainishangilienichoir
tumainishangilienichoir
8 سال پیش در تاریخ 1395/11/16 منتشر شده است.
161,602 بـار بازدید شده
... بیشتر