Twende kwa Yesu Tenzi za Rohoni 38 Official Video Mbarikiwa Mwakipesi

Helbeth Mlelwa 🎖️
Helbeth Mlelwa 🎖️
291.3 هزار بار بازدید - 4 سال پیش - Baada ya channel ya Mbarikiwa
Baada ya channel ya Mbarikiwa mwakipesile ya youtube kufungwa, sasa unaweza kuzipata video zake za zamani kwa kupitia channel zifuatazo.
1. Alex Tewele ... @pastorstz
2. Zawadi blandine ... @zawadiblandine
3. Helbeth Mlelwa ... @helbethmlelwa

Mahubiri ya sasa ya Mbarikiwa Mwakipesile yanarushwa kupitia channel ya Kikosi kazi cha injili ... @mbarikiwa_mwakipesile
Pia ibada zinarushwa live (mubashara) katika mtandao wa facebook. Ingia facebook na tafuta mbarikiwa mwakipesile au bonyeza maandishi haya Facebook: salome.mwampeta.5

KWA KILA CHANNEL ILIYOANDIKWA HAPO JUU. NI VYEMA KAMA UTASUBSCRIBE ILI UWEZE KUPATA TAARIFA ZAIDI.
NEEMA YA KRISTO YESU, IWE PAMOJA NAWE. AMEN
4 سال پیش در تاریخ 1399/07/18 منتشر شده است.
291,315 بـار بازدید شده
... بیشتر