Chama cha ANC chaongoza kwa kura Afrika Kusini, ila wabunge wachache

Citizen TV Kenya
Citizen TV Kenya
31.3 هزار بار بازدید - 3 ماه پیش - Zoezi la kuhesabu kura linaendelea
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Afrika Kusini huku matokeo
ya awali kutoka baadhi ya maeneo ya taifa hilo yakiendelea kuonesha
chama tawala cha African National Congress ANC, kinapoteza wingi wa
viti bungeni.
Ni matokeo ambayo vijana wengi nchini Afrika Kusini wanasema huenda
ikawa ushindi kwao kama yataendelea kukiweka ANC katika nafasi
ambayo kitashindwa kuunda serikali peke yake.
Kutoka Pretoria, Bryson Bichwa ana taarifa
3 ماه پیش در تاریخ 1403/03/12 منتشر شده است.
31,378 بـار بازدید شده
... بیشتر