ANZA KUJIFUNZA KIINGEREZA 2. KUAMKIA/KUSALIMIA

Computer Trainings
Computer Trainings
1.6 هزار بار بازدید - 6 سال پیش - Ili kusoma masomo yote bonyeza
Ili kusoma masomo yote bonyeza hapa:ANZA KUJIFUNZA KIINGEREZA 2. KUAMKIA/...
Mpenzi mtazamaji, huu ni wakati wako wa kujifunza lugha ya kiingereza mahali popote pale ulipo katika simu yako au katika kompyuta yako. Utajifunza kuanzia mwanzo kabisa mpaka utakapo jua kutumia lugha ya kiingereza katika nyanja zote nne, kusoma, kuandika, kuzungumza na kusikiliza. Kwamsada zaidi usisite kuwasiliana nami mwalimu wako.
6 سال پیش در تاریخ 1397/10/15 منتشر شده است.
1,617 بـار بازدید شده
... بیشتر