MEAT CAKE IN KISWAHILI

Aroma Of Zanzibar & Beyond
Aroma Of Zanzibar & Beyond
279.2 هزار بار بازدید - 7 سال پیش - Meat cakeIngredientsPound 2 /900gms Nyama
Meat cake

Ingredients
Pound 2 /900gms Nyama ya n'gobe ya kusaga  ( 90/10)
Mayai 10
Ungwa wa ngano mweup kikombe 1 Cup/125 gms  
Siagi ½ Nusu Kikombe  / 113 gms
Baking powder Kjk 1 kidogo
Unga wa bizari nzima kjk 1 ½ kdg
Unga wa giligilani  kjk 1 ½ kdg
Pilipili manga ya unga kjk 1 kdg
Pili ya paprika kjk 1 kdg
Mdalasini wa ung ½ kjk kdg
Chumvi kjk 1 kdg
Mchanganyiko wa kitunguu thom na tangawizi mbich kjk 1 Kikubwa
Majani ya giligilani/kotmiri ( kama utapenda)
Pilipili boga za rangi utakayopenda
7 سال پیش در تاریخ 1396/07/04 منتشر شده است.
279,250 بـار بازدید شده
... بیشتر