KILIMO CHA MAHINDI

Kilimo Biashara
Kilimo Biashara
49.1 هزار بار بازدید - 5 سال پیش - Mahindi ni chakula kikuu katika
Mahindi ni chakula kikuu katika nchi nyingi Africa ikiwemo Tanzania, mahindi ni lishe kuu kwa zaidi ya asilimia 50 ya watu, mahindi yana virutubisho vingi sana ikiwemo wanga, vitamin B, protini na madini, ambapo ni muhimu sana kwa afya zetu, mahindi huliwa kama ugali, japo wengine pia hupenedelea kula kama mahindi ya kuchoma
Mradi wa kuboresha myororo wa thamani katika zao la mahindi Tanzania unatekelezwa na shirika la AMDT
5 سال پیش در تاریخ 1398/04/24 منتشر شده است.
49,161 بـار بازدید شده
... بیشتر