Ukur Yatani aliyekuwa waziri wa hazina ya kitaifa apuuza madai ya shilingi 15B

Citizen TV Kenya
Citizen TV Kenya
21.1 هزار بار بازدید - پارسال - Aliyekuwa waziri wa Hazina ya
Aliyekuwa waziri wa Hazina ya Kitaifa Ukur Yatani amekanusha madai ya Msimamizi wa Bajeti Margaret Nyakang’o, kuwa huenda shilingi bilioni kumi tano zilitumiwa vibaya siku chache tu kabla ya uchaguzi wa mwaka uliopita. Yatani anasema Nyakang’o anaendeleza unafiki ili kutetea afisi yake chini ya uongozi mpya.
پارسال در تاریخ 1401/12/17 منتشر شده است.
21,141 بـار بازدید شده
... بیشتر