A single Father raising his girl BUT neighbors are against his Principles//Baba Olivia Ep 01

Henry Mwakajumba
Henry Mwakajumba
571.7 هزار بار بازدید - 2 ماه پیش - #GaboziGamba ambae
#GaboziGamba ambae amecheza kama Athour ni Single father ambae ana jaribu kumpa binti yake malezi bora yatakayo mfanya kuja kua mwanamke asie kua tegemezi kwa mtu yeyote, mwenye kujiamini na zaidi ya yote kua rafiki yake.
Wakati mwingine majirani wanaweza kua msaada wakati wa shida, lakini sio kwa Athour ambae kwa muda mrefu anajaribu kutoraka kifungo cha majirani zake ambao wamekua mzigo kwake.
............................................................................................................................
GaboziGamba, who plays the character of Athour, is a single father trying to give his daughter the best upbringing so that she grows up to be a self-reliant, confident woman and, above all, his friend. Sometimes neighbors can be helpful in times of trouble, but not for Athour, who has long been trying to escape the burden his neighbors have become to him.


For business:
[email protected]
instagram:Instagram: henrymwakajumba
2 ماه پیش در تاریخ 1403/02/31 منتشر شده است.
571,794 بـار بازدید شده
... بیشتر