Mwizi sugu wa elektroniki anaswa peupe kwenye CCTV

علوی
71 بار بازدید - 6 سال پیش - Visa vya raia kuiba kutoka
Visa vya raia kuiba kutoka baadhi ya maduka hasa katikati mwa jiji la Nairobi vimekuwa kama mtindo huku baadhi ya walaghai wakijifanya wateja ila lengo lao ni kupora kutoka kwa wafanyabiashara wanaohudumu kwa maduka hayo. Hiki ni kisa kimoja ambacho jamaa mmoja anayedaiwa kuwa mwizi sugu, alinaswa na camera za CCTV mara kwa mara akihusika katika wizi huu na taswira ya zake arobaini kutimia.
6 سال پیش در تاریخ 1397/01/17 منتشر شده است.
71 بـار بازدید شده
... بیشتر