کریسمس در ایران Krismasi nchini Iran

irantanzania
irantanzania
59 بار بازدید - 3 سال پیش - Krismasi ni ibada inayoadhimishwa na
Krismasi ni ibada inayoadhimishwa na Wakristo kote ulimwenguni kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Sherehe hiyo huanza Desemba 25 na kudumu hadi Januari 6. Watu katika sehemu nyingi za ulimwengu huona Krismasi kuwa tukio muhimu zaidi la kidini, na kwa muda mrefu imekuwa ikisherehekewa kuwa sikukuu ya kimataifa ulimwenguni pote. Iran pia ni mojawapo ya nchi ambazo Krismasi husherehekewa kwa desturi zake. Kufanya sherehe hizi nchini Iran si kwa madhumuni ya utalii na kuvutia watalii wa kimataifa, lakini uwepo wa Wakristo wenzao ndio sababu kuu ya kufanya "Krismasi nchini Iran". Tufuate kwenye mitandao ya kijamii Telegram @IranTanzania https://t.me/irantanzania Instagram @Iran.Tanzania https://www.instagram.com/iran.tanzania/ Facebook @Iran.Tanzania https://www.facebook.com/iran.tanzania/ YouTube Iran.Tanzania https://www.seevid.ir/fa/result?ytch=UC6U-...
3 سال پیش در تاریخ 1400/09/26 منتشر شده است.
59 بـار بازدید شده
... بیشتر